Msambazaji wa Kadi ya iTunes za Marekani kwenda Kenya

Unaishi Kenya na unapata tabu ya kutafuta, na kununua kadi za iTunes za Marekani kutoka chanzo cha kuaminika? Unapenda kununua filamu na muziki, na unataka kwa bei nzuri zaidi? Kwenye stoo iTunes ya Marekani kuna muziki na filamu ambazo hazipo stoo ya iTunes ya Kenya, na mara nyingi huwa zinakuwa na gharama kubwa!

US iTunes Cards for Kenya

Okoa pesa, na Upate zaidi.

Ukiwa na kadi ya iTunes ya Marekani utapata nafasi pekee ya kutumia huduma yetu kwa bei nzuri, kwa kuwa bidhaa nyingi ni bei rahisi zinapokuwa kwenye stoo ya iTunes ya Marekani kuliko zinapokuwa iTunes ya Kenya. Mbali na kuokoa pesa, utaweza pakua muziki, filamu na huduma nyinginezo ambazo usingeweza pakua na ukifurahia ukiwa na familia na marafiki zako.

Kununua kadi ya iTunes ya Marekani kutoka chanzo cha kuaminika

Tukiwa na historia ndefu ya mauzo ya kadi ya iTunes, MyGiftCardSupply imejijengea sifa nzuri kwa wateja na marafiki zake kwa kutuma kadi halisi, haraka na kwa usalama kwa barua pepe. Kupitia malipo ya Paypal, malipo yako ni salama na faragha yako inalindwa. Kununua, chagua kiasi cha iTunes unazopendelea hapo chini, amua kama unataka kununua mara moja au kujiunga na malipo ya kujirudia, Chagua “Nunua Sasa” na kisha ufanye malipo. Ndani ya dakika utakuwa ukifurahia huduma zote zinazotolewa na stoo ya iTunes ya Kimarekani.

Alon H.

Natumia MyGiftCardSupply muda wowote napohitaji kadi ya iTunes ya Marekani na wanatuma kwa haraka zaidi.

Alon H. / Afrika Kusini
Sergio R.

Nilihitaji kadi kununua filamu kutoka stoo ya iTunes ya Marekani, na hii tovuti ndio ilikuwa ni suluhisho pekee.

Sergio R. / Argentina
Juan L.

Nzuri kwa ajili ya kuficha taarifa binafsi na taarifa za malipo kwa usalama kutoka kwenye stoo

Juan L. / Singapore

Kutana na Mmilki

Habari! Nilianzisha hii tovuti mwaka 2012 kusaidia watu wanaotoka nje ya Marekani kununua muziki wa Marekani, filamu na huduma nyinginezo kwa urahisi. Ilikuwa ni lengo lango tangu mwanzo kurahisisha manunuzi kupitia mtandao, na kutoa huduma kwa wateja iliyobora zaidi.

Tunakubali wateja kutoka kila pande ya dunia, hivyo furahia huduma yetu kutoka Kenya. Endapo una maswali, jisikie huru kubofya alama ya “Contact” iliyopo upande wa chini kulia wa ukurasa huu. Asante kwa kutuamini sisi, na kutufanya kama chanzo chako kikuu cha kupata zawadi za iTunes za Marekani.
MyGiftCardSupply signature

Maswali kuhusu kadi za iTunes ya Marekani

Kununua kadiya iTunes toka MyGiftCardSupply ni rahisi na haraka! Kadi zote zimeskaniwa kidigitali na kutumwa kupitia barua pepe. Oda nyingi zitapitishwa na kutumwa ndani ya dakika chache baada ya kufanya manunuzi.

Endapo hii ni mara yako ya kwanza unaweka oda, kuna uwezekano tutahitaji muda wa ziada kidogo kupitisha oda yako ya kwanza. Baada ya kuipitisha kadi itatumwa kupitia barua pepe kwa kuskani kidigitali.

Ukiwa na kadi ya iTunes ya Marekani, unafungua nafasi ya kupata katalogi yote ya iTunes za Marekani ikiwemo muziki, programu, filamu, vitabu na vingi zaidi. Hakuna haja ya kusubiri kwa ajili ya filamu au albamu unazozipendelea zitoke. Pakua kwenye simu au kompyuta yako na uanze kufurahia papo hapo.

Tulianza kazi hii mwaka 2012 ili tuwe tunatuma kadi ya iTunes ya Marekani kwa wateja wetu ambao kwa sasa HAWAPO Marekani. Kuishi Kenya, hakuna tatizo hata kidogo. Kwa kuwa unaweza kupata huduma ya Paypal kufanya manunuzi, tutahakikisha kadi yako ya iTunes ya Marekani inatumwa kwa usalama kupitia barua pepe.

Nawezaje kuitumia kadi yangu ya iTunes kwenye kompyuta

  • Utapoingia akaunti yako ya iTunes, bofya kwenye “Account Name”
  • Kisha chagua “Redeem..”
  • Andika tarakimu 16 zilizopo kwenye kadi iliyotumwa kwako kwa njia ya barua pepe na kisha bofya “Redeem..”.

(Pia unaweza tumia kamera kupitia kompyuta au simu yako, kisha shikilia picha ya kadi kwenye kamera ili kuepuka kukosea)

Jinsi ya kutumia kadi yako kwenye iPhone, iPad au Macbook.

  • Bofya “Featured” upande wa chini wa ukurasa.
  • Hakikisha umeingia kwenye akaunti yako na bofya “Redeem”
  • Tumia kamera yako ya simu kupiga picha ya kwenye kompyuta yako. Pia unaweza chagua kuingiza alama ya siri na kisha bofya “Return”

Pia tuna mwongozo wa hatua kwa hatua ukiwa na picha endapo utahitaji msaada zaidi wa maelekezo.

Hii ni kadi ya iTunes ya Marekani, hivyo hakikisha uwe umesajili akaunti ya iTunes ya Marekani.

iTunes is a trademark of Apple Inc., registered in the U.S. and other countries.